Kocha wa Atetic Madrd Diego Simeone (kushoto) na kocha wa Real Madrid Zindine Zidane |
Kamati ya rufaa ya shirikisho
ya soka duniani, FIFA imeweka wazi kuwa imekataa rufani ya Real Madrid na Atletico
Madrid kwa kuvunja sheria ya kimataifa
ya michezo isiyo ruhusu vilabu kusajili wachezaji chini ya miaka 18.
Vilabu vyote
vinatakiwa vitumikie adhabu ya kutosajili
hivyo kutokuwa na kandarasi na mchezaji yoyoTe kitaifa na kimataifa kwa
misimu miwili mfululizo kuanzia sasa.NHivyo klabu hizo
zitatumikia adhabu mpaka Januari, 2018.
Atletico Madrid wamepigwa faini ya euro 822,000 na Real
Madrid waO wamelimwa euro 329,000. Japo taarifa toka Atetico Madrid zinadai
watakata rufaa juu ya hilo.
Kwa upande wa wapinzani wa Barca walikutwa na
dhahama hiyo mwaka 2014.
ISHU ILIKUWA VIPI?
Real Madrid wamekutwa na hatia baada ya uchunguzi wa FIFA
ulionyesha wAlifanya vitendo hivyo mwaka 2005 mpaka 2014, huku Atletico toka
mwaka 2007 na 2014.
Kutokana na taarifa hizo kutakuwa na utata kwa Madrid
kumpata kipa wa Man U wanayemtolea udenda, na kwa pande Atletico Madrid watakosa
nafasi ya kupata mbadala wa Antonie
Griezmann anayetarajiwa kung'oka..
Hii ndio “PRESS REEASE“ YA FIFA
The FIFA Appeal Committee has decided to
reject the appeals lodged by Spanish clubs Atlético de Madrid and Real Madrid
and to confirm in their entirety the decision rendered by the FIFA
Disciplinary Committee in the respective cases relating to the protection of
minors.
As such, both clubs are to serve a transfer ban that prevents
them from registering any players at national and international level for the
next two complete and consecutive registration periods for breaching articles
5, 9, 19 and 19bis as well as annexes 2 and 3 of the Regulations on the Status
and Transfer of Players (the “Regulations”). The transfer ban applies to each
club as a whole – with the exception of the women’s, futsal and beach soccer
teams – and does not prevent the release of players.
Additionally, Atlético de Madrid and Real Madrid have been fined
CHF 900,000 and CHF 360,000 respectively, while both clubs have been issued
with a reprimand and a warning and given 90 days in which to regularise the
situation of all minor players concerned.
The grounds of the decisions taken by the FIFA Appeal Committee
were communicated to the parties concerned today.
No comments:
Post a Comment