Monday 19 September 2016

FUNNY FACT:WAGENI WA SIKU HIZI

Wageni wa zamani wakifika nyumbani kwako cha kwanza wanaangalia kwenye Friji.
Lakini wageni wa sasa raha saaana,  the FUNNY FACT ni kuwa wakifika nyumbani kwako swali la kwanza, UNA CHAJA YA SMART PHONE?

No comments:

Post a Comment