Monday 19 September 2016

LIL WAYNE, "AWAMAINDI" CMB KWANINI TYGA ASEPE?

 Bifu kati ya Lil Wayne na  Birdman  limechukua sura mpya baada ya Wayne kumaindi kwanini CMB kuruhusu Tyga kusaini G.O.O.D Music kwa kudai   kuruhusu Tyga -mmoja wa  wasanii wake “under” YCMB kusepa bila hata mjadala kidogo.
Vyanzo vya karibu na Wayne kupitia mtandao wa  TMZ vimeeleza,  rapa  Wayne amelaumu baada Tyga kuwa huru, kufunguliwa mlango kwa ajili yake kutia saini mkataba mpya na G.O.O.D. Kanye West Music. Tatizo ni ..... alikuwa  Young Money,  ambapo Weezy ni mwanzilishi mwenza na mmiliki  49%.

Tyga aliyekuwa memba wa Young Money amesaini siku za karibuni kwenye lebo G.O.O.D Music  ya Kanye West  ambapo anatazamiwa kuwepo kwenye album ya G.O.O.D Music ya “Cruel Winter”  inayotarajiwa kutoka mwakani, huku ukaribu na familia ya kardashian ukizidi kuongezeka baada ya kuwapo na uhusiano na Kylie Jenner pamoja na demu wake wa zamani Blac Chyna aliyechumbiwa na kaka wa Kim, Rob.

No comments:

Post a Comment